Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Allan Kijazi amewataka wataalamu wa utahamini kujitathmini katika kazi wanazozifanya ili kuepuka kufanya kazi kwa matakwa ya wale wanaowafanyia kazi.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amezitaka halmashauri zote nchini kutoa kipaumbele katika utengaji bajeti za ndani ili kuhakikisha mipango ya matumizi ya ardhi inaandaliwa katika vijiji.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amekabidhi Scanner 50 zenye thamani ya shilingi milioni 880 kwa kwa ajili ya kurahisisha zoezi la kubadilisha kumbukumbu za ardhi kutoka analogia kwenda digitali.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amekutana na wamiliki wa shule na vyuo visivyo vya kiserikali kujadili hoja ya wamiliki hao kutaka waondolewe kulipa kodi ya pango la ardhi kwa shule na vyuo hivyo
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Angeline Mabula amekutana na kufanya mazungumzo na Meneja Mkazi wa Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Nickel Tembo Nickel Corporation Ltd Benedict Busunzu.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameipongeza jamii ya wawindaji ya wahadzabe iliyopo wilaya ya Mkalama mkoani Singida kwa utayari iliyouonesha wa kutambua na kukubali kupimiwa maeneo yao na kupatiwa hatimiliki za kimila.
© 2023 All Rights Reserved.
Site Map
Staff Mail
Designed and Developed bylbl_ega_nam (e-GA) and Contents Managed by Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development