Kamati ya Mawaziri wa Wizara za Kisekta imetembelea maeneo ya hfadhi na chanzo cha maji katika mkoa wa Katavi kujionea hali ya uvamizi wa maeneo hayo na kuelekeza wananchi waliovamia maeneo hayo kutofanya maendelezo
Mawaziri wa Wizara za Kisekta wameanza ziara ya utatuzi wa migogoro ya matumizi ya ardhi katika vijiji 975. Ziara ya Mawaziri hao imeanza leo tarehe 11 Oktoba 2022 katika mkoa wa Rukwa na itaendelea mkoa wa Katavi tarehe 12 Oktoba 2022 kabla ya kuelekea Kigoma Oktoba 13, 2022.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameagiza ufanyike upembuzi kawa mashauri yote ya ardhi yaliyokaa muda mrefu kutokana na sababu zisizo na mashiko.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo yaMakazi Dkt Angeline Mabula amezitaka halmashauri nchini kwenda na kasi ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutenga ardhi kwa ajili ya uwekezaji.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Dkt Angeline Mabula amezionya halmashauri nchini kuacha utaratibu wa kubadilisha matumizi ya ardhi bila sababu za msingi.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula amewataka wakurugenzi wa Halmashauri nchini kujipanga na kufanya kazi kwa pamoja na wataalamu wa ardhi ili kuondoa changamoto zinazojitokeza katika utendaji kazi na usimamizi wa sekta ya ardhi katika Halmashauri.
© 2023 All Rights Reserved.
Site Map
Staff Mail
Designed and Developed bylbl_ega_nam (e-GA) and Contents Managed by Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development