Minister of Lands, Housing and Human Settlements Development, Hon. William Lukuvi in his visit to Morogoro has continued to implement the program to formalize arbitrary citizens housing 116, which has distributed 60 title deeds.
Waziri wa Maendeleo ya Miji na Vijiji wa Namibia; Sophia Shaningwa amefika nchini na ujumbe wa Wataalamu wake kwa ajili ya kujifunza taratibu za Utawala wa Ardhi wa Tanzania.
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kwa kushirikiana na Kitengo cha kodi katika Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kimefanya kampeni maalumu ya uhamasishaji wananchi kulipa kodi ya pango la ardhi na utoaji wa elimu ya sekta ya ardhi.