Viwanja 32,303 na mashamba 76 yamepimwa nchini toka robo ya kwanza ya mwaka / Julai - Septemba 2016, kwa maazimio ya upimaji wa vipande 400,000 vya Ardhi ifikapoJuni, 2017.
Serikali imeagiza Halmashauri zote nchini kutokuchua ardhi ya mtu bila ya kulipa fidia wakati wa kutwaa maeneo kwa ajili ya mpango wa matumizi mbalimbali.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amekutana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. Sarah Cooke alipotembelea katika ofisi za Wizara hiyo.
Mkutano wa tatu wa umoja wa Mataifa wa Makazi na Maendeleo Endelevu ya Miji umeanza tarehe 17 Oktoba 2016,katika Ukumbi wa Casa de la Cultura Equatoriana Mjini Quito,Mji mkuu wa Ecuador