HOTUBA YA MHE. WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI KWENYE UZINDUZI WA BODI YA WADHAMINI YA MFUKO WA FIDIA YA ARDHI KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA WIZARA TAREHE 01/03/2018
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula ametoa rai kwa wadau wote wa sekta ya Ardhi wanaojihusisha na miradi ya ujenzi wa nyumba za gharama nafuu kushirikiana na kubadilishana mawazo jinsi gani ya kutekeleza miradi yao.